Character Development - Trio Mio ft. Mejja
Performed and written by Trio Mio & Mejja
Produced by Byron
Mixed and Mastered by Kingpheezle, Stray Music
Trouble Music 2021
**Official Lyrics**
Intro: [Trio Mio]
Aaaanhuh!
Trio Mio
Mkurugenzi
Hook: [Trio Mio]
Nairobi Group of Schools class iko in session
Mambleina vuta stool welcome to my lesson
Hii syllabus ni ya Character Development
Repeat it after
(Character Development!)
Skiza, ka we ni msee mafeelings hapa utaumizwa
Na ka mamako hajakufunza lazma utafundishwa
Kanairo lazma upewe Character Development
Bonge la somo
(Character Development!)
Verse 1: [Trio Mio]
Yesaya!
Exam uliset fire
Graduation second upper saa hii tujenge empire
Maisha imekuwa haywire
Madeni kadeila yeah?
Saa hii ni kukafunga kafungike wakuite
ho!
Gava inakushow hizo ni hekaya (Hekaya!)
Hakuna kazi Kenya bro skia
Kila ninja anajitafutia
Zile ziko si wanadandia
Watu wao ndo
Weka degree chini hustle kama drop out
Bridge: [Trio Mio]
(Pigwa!) Character
Character .. Character Development
Character .. Character Development
Character .. Character Development (Aaaanhuh!)
Hook: [Trio Mio]
Nairobi Group of Schools class iko in session
Mambleina vuta stool welcome to my lesson
Hii syllabus ni ya Character Development
Repeat it after
(Character Development!)
Skiza, ka we ni msee mafeelings hapa utaumizwa
Na ka mamako hajakufunza lazma utafundishwa
Kanairo lazma upewe Character Development
Bonge la somo
(Character Development!)
Verse 2: [Mejja]
Ulikuwa na maringo ukapitia tu struggle saa hii umekuwa mhumble
Character Development ni noma jo inafanya kichwa ngumu anakuwa holy joe
Ulipata pesa ukachorea kwenu
Ukatafta madem kazi ni kulewa
Saa hii umesota huwezi rudi kwenu
Wale madem ulikuwa nao ndo wanakuchekelea
Usijifanye mang'aa ukikanywa skiza ama utajipata umekuwa motivational speaker
Ukikula bibi ya mtu wako anakuliwa
Nairobi hakuna huruma hapa utaumia
Bridge: [Trio Mio]
(Pigwa!) Character
Character .. Character Development
Character .. Character Development
Character .. Character Development (Aaaanhuh!)
Hook: [Trio Mio]
Nairobi Group of Schools class iko in session
Mambleina vuta stool welcome to my lesson
Hii syllabus ni ya Character Development
Repeat it after
(Character Development!)
Skiza, ka we ni msee mafeelings hapa utaumizwa
Na ka mamako hajakufunza lazma utafundishwa
Kanairo lazma upewe Character Development
Bonge la somo
(Character Development!)
Verse 3: [Trio Mio]
Develop kicharacter usitumiwe kama doormat
Jibebe kimala na utaliwa kama mboga
Kanairo unachanganywa na mkwanja uvue ngotha
Ujue kwa nini stick ya nare hutumiwangwa mara moja
Wakigonga wanasonga
Wana hoja kwa toja
Wee unangoja ruracio ulete ng'ombe kwa boma
Mi ni ukweli na bonga
Wengi wanachongwa wanakonda
Nadoubt madollar zinatosha kukuporosha, unachoma
Najua unajua wanakuchocha
But hii pesa ni tamu
Hata kama ni ya haramu
Huwezi kula nidhamu
Vacay Malindi na Lamu, maselfe na masanamu
Ukishaisha ladha na hamu unajua ni nini inakamu?