Vinc On The Beat teams up with Exray Taniua to deliver this masterpiece.
Buy & Listen To 'Kata Simu Nipo Site ' Here -
Produced by Vinc On The Beat.
Directed By
Jnr.
A Uniq Music Presentation.
Copyright 2022.
SPECIAL APPRECIATION TO
1. Uniq Music Records
2. Film Brand Studios
3. Kaka Empire
4. Mulamwa Entertainment
5. Chezaa Africa
7. Background vocals Ceci Maina
8. Makeup: Mauryn
KATA SIMU NIPO SITE LYRICS
VERSE 01 - VINC ON THE BEAT
Exuze babaa kata hiyo simu,
Unapiga mara mbao, kwani skuizi hujiheshimu,
Huskii skuizi nimekua busy niko meeting,
Call za ufala mi sishiki,
Niko busy daily natafuta pesa,
we umeshinda unataka favours,
wenzio wanhustle we unacheza,
jifunze kujitegemea.
BRIDGE / REFRAIN
kama huna form usihalle,
sina time ya kuwaste nah nah
wikendi nimechoka niko party,
only piga simu kama una form.
kama huna form usihalle,
sina time ya kuwaste nah nah
wikendi nimechoka niko party,
only piga simu kama unatoa form.
HOOK/CHORUS
Unataka bae akate simu
(eeeeeeh! Kata Simu Nipo Site)
Na landlord pia akate simu
(eeeeeeh! Kata Simu Nipo Site)
Na yule morio wako wa kitambo
(eeeeeh Kata simu nipo site)
Tupo site dont like disturbance of the head
VERSE TWO - EXRAY
Baby ni baby mkiwa na yeye
Na akitoka, ah! ni wa wenyewe,
Morio ni morio ukiwa kakitu.
Na ukosota ah, ukisota uko mwenyewe.
maji yakimwagika hayazoleki
na inakubalika tu ukiwa kisensi
so ni heri subiri uvute heri
we kataga simu niko mtito wa ndei
wikend nimeweka airplane mode
juu leo nikusere staki scandle
simu nitachukua ni ya warembo pekee
ama biashara ya magendo
BRIDGE / REFRAIN
kama huna form usihalle,
sina time ya kuwaste nah nah
wikendi nimechoka niko party,
only piga simu kama una form.
kama huna form usihalle,
sina time ya kuwaste nah nah
wikendi nimechoka niko party,
only piga simu kama unatoa form.
HOOK/CHORUS
Unataka bae akate simu
(eeeeeeh! Kata Simu Nipo Site)
Na landlord pia akate simu
(eeeeeeh! Kata Simu Nipo Site)
Na yule morio wako wa kitambo
(eeeeeh Kata simu nipo site)
Tupo site dont like disturbance of the head
Follow Vinc On Instagram -
#Katasimutuposite #vinconthebeat #exray